Leandre Willy Essomba Onana
Leandre Willy Essomba Onana ,(alizaliwa 14 Julai 2000) ni mchezaji maarufu wa soka kutoka Kamerun ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Simba S.C. nchini Tanzania.
Kabla ya kujiunga na Simba SC 1 Julai mwaka 2023 , alikuwa mchezaji wa Rayon Sports nchini Rwanda katika msimu wa miaka ya 2022-2023, ambapo alifanikiwa kufunga jumla ya magori 16 katika mechi 23 alizocheza. Onana ameleta ujuzi wake katika kikosi cha Simba SC na kuwa sehemu muhimu ya mafanikio ya timu hiyo.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leandre Willy Essomba Onana kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |