Leanne Kiernan

Mchezaji wa Mpira wa miguu

Leanne Kiernan (alizaliwa 27 Aprili 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ireland ambaye anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya Liverpool FC ya Ligi Kuu Wanawake ya Uingereza (WSL)[2][3] na timu ya taifa ya Jamhuri ya Ireland.[4][5]

Kiernan akichezea West Ham United mnamo 2022

Marejeo

hariri
  1. "Lure of pigs and the land still strong for Shelbourne's Leanne Kiernan". The Irish Times (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
  2. "Leanne Kiernan: Liverpool Women sign Republic of Ireland striker from West Ham". Sky Sports (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.
  3. "Liverpool's Kiernan set to miss months with injury", BBC Sport (kwa Kiingereza (Uingereza)), iliwekwa mnamo 2024-04-21
  4. Pyne, Anthony (2023-06-28). "Mannion, Campbell & Kiernan miss out on World Cup" (kwa Kiingereza). {{cite journal}}: Cite journal requires |journal= (help)
  5. The 42 Team (2016-11-26). "Stephanie Roche on target as Ireland women give Sue Ronan the perfect send-off". The 42 (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-04-21.{{cite web}}: CS1 maint: numeric names: authors list (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Leanne Kiernan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.