Lee Yong (alizaliwa 24 Desemba 1986) ni mchezaji wa soka wa Korea Kusini ambaye anacheza klatika klabu ya Kikorea Jeonbuk Hyundai Motors na timu ya taifa ya Korea Kusini .

Lee Yong

Kazi ya kimataifa

hariri

Mnamo Mei 2018 aliitwa jina lake katika kikosi cha kwanza cha kuiwakilisha Korea Kusini katika mashindano ya Kombe la Dunia la FIFA 2018 nchini Urusi.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lee Yong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.