Leif Erikson
(Elekezwa kutoka Leif Ericson)
Leif Erikson (pia Ericson, Erickson, au Ericksson, mnamo 970 - 1020 BK) alikuwa mpelelezi kutoka Skandinavia. [1] Alikuwa Mzungu wa kwanza anayejulikana kusafiri kwenda Amerika Kaskazini.
Maisha
haririHakuna habari za uhakika juu yake. Uwezekano mkubwa ni kwamba Erikson alizaliwa huko Iceland. Baba yake alikuwa Erik Mwekundu, [1] hivyo mwanawe Leif aliitwa "Erikson" yaani mwana wa Erik. Erika Mzee alikuwa ameunda makoloni huko Greenland. Erikson anasemekana alitembelea Amerika Kaskazini muda mrefu kabla ya mtu yeyote kutoka Ulaya kufanya hivyo. Kulingana na masimulizi ya Iceland aliunda makazi ya Waviking huko "Vinland". Wasomi wengi wanadhani hii ilikuwa Newfoundland katika Kanada ya leo.
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 "Leif Eriksson the Lucky". Encyclopædia Britannica. Iliwekwa mnamo 6 Machi 2011.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Short, William R. (2010). Icelanders in the Viking age: the people of the sagas. McFarland. ISBN 978-0-7864-4727-5.
- Somerville, Angus; McDonald, Andrew R. (2010). The Viking Age: A Reader. University of Toronto Press. ISBN 978-1-4426-0148-2.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Leif Erikson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |