Les Emmerson
Robert Leslie Emmerson (17 Septemba 1944 – 10 Desemba 2021) alikuwa mwanamuziki na mwimbaji wa Kanada. Alikuwa mwimbaji mkuu na mpiga gitaa wa bendi ya Five Man Electrical Band , na bendi yao ya awali The Staccatos. Alirekodi pia kama msanii wa solo, akipata nyimbo tatu zilizofika kwenye orodha ya Top 40 nchini Kanada, ikiwemo wimbo wa #5 Control Of Me.[1][2][3][4]
Marejeo
hariri- ↑ Corbett, Ron. "Royalty cheques worth some 'serious coin': One of the Signs that Ottawa's Five Man Electrical Band's legacy lives on", 7 July 2008, p. 4.
- ↑ "Top Singles". RPM. Library and Archives Canada. 1 Septemba 1973. Iliwekwa mnamo 11 Agosti 2009.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Cusack, Leanne (12 Desemba 2021). "Ottawa rock and roll royalty, songwriter of 'Signs' Les Emmerson dead at 77". ctvnews.ca. Iliwekwa mnamo 12 Desemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Fox, Kirk (13 Desemba 2021). "Les Emmerson (1944–2021), writer of the classic rock anthem "Signs"". Legacy.com. Iliwekwa mnamo 13 Desemba 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Les Emmerson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |