Leverkusen
Leverkusen ni mji wa Rhine Kaskazini-Westfalia nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine. Idadi ya wakazi wake ni takriban 160,593.
Leverkusen | |||
| |||
Mahali pa mji wa Leverkusen katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 51°02′0″N 6°59′0″E / 51.03333°N 6.98333°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Rhine Kaskazini-Westfalia | ||
Idadi ya wakazi (2009) | |||
- Wakazi kwa ujumla | 160,593 | ||
Tovuti: www.leverkusen.de |
Tazama pia
haririViungo vya nje
hariri- (Kiingereza) (Kijerumani) (Kifaransa) (Kiitalia) (Kiromania) (Kipoland) Leverkusen.com
- (Kiingereza) (Kijerumani) Bayer 04 Leverkusen
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Leverkusen kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |