Lhotse ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,511 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Mlima Lhotse, upande wa Kusini

Kilele chake kipo katika mpaka wa Nepal na Uchina.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lhotse kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.