Libius Severus alikuwa Kaizari wa Dola la Roma Magharibi kuanzia mwezi wa Novemba 461 hadi kifo chake tarehe 15 Agosti, 465. Alimfuata Majorian.

Shaba inayoonyesha Libius Severus

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Libius Severus kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.