Licinius (263 hivi - 325) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma pamoja na Galerius na Maximinus II kuanzia 308 hadi 324.

Licinius

Alimfuata Severus II akafuatwa na Konstantino Mkuu.

Tazama pia

hariri
  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Licinius kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.