Ligi Kuu ya Zanzibar

(Elekezwa kutoka Ligi kuu ya zanzibar)

Ligi Kuu ya Zanzibar ndiyo daraja la juu la Chama cha Soka Zanzibar. Iliundwa mnamo mwaka 1926.

Washindi wa awali

hariri

Baadhi ya washindi wa kombe la Ligi kuu ya Zanzibar.

(*) katika miaka hii, mabingwa wa Zanzibar (ligi ya Visiwani) walitwaa Ligi ya Muungano dhidi ya washindi wa Ligi ya Zanzibar na hivyo kutwaa Ligi Kuu ya Zanzibar.

(**) kati ya 1926 na 1980 mashindano hayakuwa ya kudumu, kwa hiyo data nyingi kuhusu mabingwa walioshinda taji hilo hazijulikana.

Utendaji kwa klabu

hariri
Klabu Kombe Ushindi wa Kombe
KMKM 8 2022
Mlandege FC 7 2020
Small Simba 5 1995
Malindi 5 1992
Mafunzo 3 2015
Miembeni 3 2008
Ujamaa 2 1982
Shengeni 2 1994
Polisi 2 2006
JKU 2 2018
Kipanga 1 2000
Jamhuri 1 2003
Zanzibar Ocean View 1 2010
Super Falcon 1 2012
Zimamoto 1 2016
Mnazi Mmoja 1 1926

Wafungaji

hariri
Year Best scorers Team Goals
2005   Joseph Malik Tembo 8
2008 Bakari Mohammed Mundu 6
2009 Mfanyeje Musa Mundu 14
2022-23 Yasin Mgaza KMKM 8

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Ligi Kuu ya Zanzibar kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.