Miembeni
ukarasa wa maana wa Wikimedia
Miembeni inataja mahali penye miti aina ya mwembe. Inaweza kumaanisha hasa:
- Miembeni (Bukoba Mjini) - kata ya mji wa Bukoba
- Miembeni (Moshi Mjini) - kata ya mji wa Moshi
- Miembeni (Zanzibar) - kata ya jiji la Zanzibar