Lilian Nabora

Mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO


Lilian Nabora (alizaliwa tar.) ni mmoja wa wanaharakati wanawake wenye ushawishi nchini Tanzania na muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.[1]

Lilian Nabora
Amezaliwa
Temeke, Dar es salaam
Nchi Tanzania
Majina mengine Lilian Nabora
Kazi yake muasisi na mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO.

Wasifu hariri

Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Ni mmoja wa wafanyakazi katika ubalozi wa Botswana huko Brussels nchini Ubelgiji[2] akifanya kazi kwa muda wa ziada kama Msambazaji wa vifaa vya ofisi .

Lilian ni mmiliki, na mpiga picha wa Kampuni ya Creative Media, pia ni msanii wa grafiti.

Harakati hariri

Mnamo mwaka 2008, Lilian aliamua kurudi sehemu alikozaliwa na kuhamasisha kundi la watu 20 kwa malengo ya kuelimisha na kusaidia vijana na watoto kutokana na umaskini na ugonjwa wa UKIMWI.

Mnano mwaka 2009 alifanikiwa kusajili taasisi ya Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO)[3].

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-02-21. Iliwekwa mnamo 2018-09-09.  Text "archiveur" ignored (help)
  2. http://botswana-brussels.com/directory/
  3. https://kitoto.wordpress.com/tag/lilian-nabora/
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lilian Nabora kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.