Linksi
Linksi | ||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
![]() Linksi wa Ulaya (Lynx lynx)
| ||||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||||
| ||||||||||||||||||
![]() Ramani ionyesha maeneo ambapo linksi watokea (kijani)
|
Linksi (kutoka Kigir. λυνξ na Kilat. lynx) ni jenasi ya paka pori wa Amerika ya Kaskazini, Asia na Ulaya.
SpishiEdit
- Lynx canadensis, Linksi wa Kanada (Canada lynx)
- Lynx lynx, Linksi wa Ulaya (Eurasian lynx)
- Lynx pardinus, Linksi wa Hispania (Iberian lynx)
- Lynx rufus, Linksi-nyika (Bobcat)
Spishi ya kabla ya historiaEdit
- Lynx issiodorensis (Issoire lynx, Pleistocene ya Ulaya)
PichaEdit
Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Linksi kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |