Lisa Kolb (alizaliwa 4 Mei 2001) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Austria. Lisa anacheza kama mshambuliaji wa klabu ya SC Freiburg katika ligi ya Frauen-Bundesliga na timu ya taifa ya wanawake ya Austria.[1]


Marejeo hariri

  1. "Lisa Kolb | Austria | UEFA Women's EURO". UEFA.com. Iliwekwa mnamo 25 February 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lisa Kolb kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.