Listra
Listra (kwa Kigiriki: Λύστρα, Lyustra) ulikuwa mji wa rasi ya Anatolia, katika Uturuki wa leo.
Kwa sasa ni kijiji tu kinachoitwa Klistra, km 30 kusini kwa Konya[1].
Mji huo unatajwa mara sita katika Biblia ya Kikristo (Mdo 14:6,8,21; 16:1, 2Tim 3:11) kwa sababu kuanzia mwaka 46 Mtume Paulo alifika huko mara kadhaa kuinjilisha akiwa mara na Barnaba, mara na Sila[2]. Ndipo alipomkuta Timotheo ambaye akawa mshirika na hatimaye mwandamizi wake.
Tanbihi
hariri- ↑ "Kilistra (Gökyurt) Kültür ve Turizm Derneği". kilistra.org.tr.
- ↑ "Apostle Paul's Second Missionary Journey Map". biblestudy.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-12-22.
Viungo vyanje
hariri- Map of Asia Minor (modern Turkey) which shows Lystra in the province of Lycaonia
- Photos from Lystra
- Satellite-based map of First Missionary Journey
- BIAA – Site.638 'Hatunsaray (Lystra)'
- Coins of the Ancient city of Lystra
Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Listra kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |