Litori wa Tours (alifariki Tours, leo nchini Ufaransa, 13 Septemba 371 BK) alikuwa askofu wa pili wa mji huo[1] .

Gregori wa Tours aliandika kwamba baada ya Grasyano askofu wa pili aliitwa Litori na kudumu miaka 33, mpaka alipofika Martino wa Tours mwaka 371[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. [1]
  2. Gregory, History of the Franks, (10.31).
  3. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  • Louis-Sébastien Le Nain de Tillemont, Mémoires pour servir à l’histoire ecclésiastique des six premiers siècles justifiés par les citations des auteurs originaux, ed. Charmes Robustel, Paris 1705
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.