Livorno ni mji wa Italia katika mkoa wa Toscana.

Mji wa Livorno
Livorno
Majiranukta: 43°33′00″N 10°19′00″E / 43.55000°N 10.31667°E / 43.55000; 10.31667
Nchi Italia
Mkoa Toscana
Wilaya Livorno
Idadi ya wakazi
 - 159 431 (28−02−2,015)

Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 160,000 wanaoishi katika mji huo.

Mji upo mita 3 juu ya usawa wa bahari. Bandari yake ni muhimu.

Tazama piaEdit

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii kuhusu maeneo ya Italia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Livorno kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.