Lucknow

Lucknow ni jiji la Jimbo la Uttar Pradesh nchini Uhindi lenye wakazi milioni 2.8 (2011). Ni makao makuu ya jimbo na mji mkubwa wa kumi na moja nchini Uhindi.

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Lucknow kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.