Lucy Lawless

Lucille Frances Ryan (amezaliwa tar. 2 Machi 1968) ni mshindi wa Tuzo ya Emmy akiwa kama mwigizaji bora filamu wa Kinew Zealand. Amepata kufahamika baada ya kucheza katika tamthiliya ya Xena: Warrior Princess na Battlestar Galactica. Lawless pia ni mwanamuziki.

Lucy Lawless
20120713 Lucy Lawless @ Comic-con cropped.jpg
Jina la kuzaliwa Lucille Frances Ryan
Alizaliwa 2 Machi 1968
Miaka ya kazi 1989 – Hadi leo

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: