Ludwigshafen am Rhein
Ludwigshafen am Rhein au Ludwigshafen ni mji wa Rhine-Palatino nchini Ujerumani. Iko kando ya mto Rhine (Rhein). Idadi ya wakazi wake ni takriban 163,340. Mji ulianzishwa 1820.
Ludwigshafen | |||
| |||
Mahali pa mji wa Ludwigshafen katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 49°30′0″N 8°26′0″E / 49.50000°N 8.43333°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Rhine-Palatino | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 163,340 | ||
Tovuti: www.ludwigshafen.de |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ludwigshafen am Rhein kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |