Waware
(Elekezwa kutoka Lugha ya Ware)
Waware walikuwa kabila la Tanzania walioongea lugha ya Kiware. Inaaminika kwamba lugha hiyo imekufa kabisa.
Takriban mwaka 1900 wasemaji wa Kiware waliishi kisiwani sehemu ya Mashariki ya Ziwa Viktoria.
Lugha yao labda ilifanana na lugha nyingine za Kibantu za majirani.
Haijulikani wanaongea lugha ipi siku hizi, wala kama wanaendelea kujiita Waware.
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinaeleza kwamba kitabu kifuatacho kinataja kifo cha lugha ya Kiware kwenye ukurasa 397:
- Sommer, Gabriele. 1992. "A survey on language death in Africa". Katika: Language death: factual and theoretical explorations with special reference to East Africa (Contributions to the sociology of language, vol 64), uk. 301-417. Kuhaririwa na Matthias Brenzinger. Berlin & New York: Mouton de Gruyter.
Makala hii kuhusu utamaduni wa Tanzania bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Waware kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |