Lugha ya ishara ya Kituruki
Lugha ya ishara ya Kituruki ni lugha inayotumiwa na jamii ya viziwi nchini Uturuki. Kama ilivyo kwa lugha zingine za ishara, TİD ina sarufi ya kipekee ambayo ni tofauti na lugha zinazotumiwa katika eneo hilo.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Karabüklü, Serpil; Bross, Fabian; Wilbur, Ronnie B.; Hole, Daniel (2018). "Modal signs and scope relations in TID". Formal and Experimental Advances in Sign language Theory (FEAST). 2: 82–92. doi:10.31009/FEAST.i2.07.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya ishara ya Kituruki kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |