Lugha ya kupangwa ni aina ya lugha ya kuundwa. Kwa kawaida, msemo lugha ya kupangwa unatumika kwa lugha zile ambazo ziliundwa kwa ajili ya utumiaji wa kawaida baina ya watu.

Kumbe kuna lugha iliyotengenezwa ambayo si lugha ya kupangwa, kama vile lugha za uzushi na lugha za siri.

Lugha ya kupangwa inayozungumzwa zaidi ni Kiesperanto.

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha ya kupangwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.