Lugha za Kibarkly ni kundi la lugha za Kimirndi nchini Australia. Katika kundi hilo kuna lugha tatu: Kijingulu, Kigudanji na Kiwambaya.

Eneo la lugha za Kibarkly (rangi ya buluu)

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kibarkly kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.