Kigudanji
Kigudanji (au Kingarnga) kilikuwa lugha ya Kimirndi nchini Australia iliyozungumzwa na Wagudanji katika jimbo la Northern Territory. Hakuna Wagudanji waliobaki kuzungumza lugha ya Kigudanji, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigudanji kiko katika kundi la Kibarkly. Wengine hukiangalia kuwa lahaja ya Kiwambaya.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigudanji kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigudanji Archived 17 Machi 2016 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigudanji katika Glottolog
- lugha ya Kigudanji katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigudanji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |