Lugha za Kieskimo-Kialeuti

Lugha za Kieskimo-Kialeuti ni kundi la lugha zinazotumiwa hasa Greenland, Kanada Kaskazini, Marekani Kaskazini na Urusi Mashariki.

Ni lugha ambishi bainishi kama Kiswahili.

Noun project 1822.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kieskimo-Kialeuti kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.