Lugha za Kikaukazi ya Kusini

Lugha za Kikaukazi ya Kusini (pia Lugha za Kikartveli) ni familia ya lugha ambazo huzungumzwa katika eneo la Kaukazi hasa nchini Georgia na Uturuki. Idadi ya lugha katika familia hiyo ni nne tu. Watu zaidi ya milioni tano huzungumza moja ya lugha za Kikartveli kama lugha yao ya kwanza.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kikaukazi ya Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.