Lugha za Kikhoe-Kwadi
(Elekezwa kutoka Lugha za Kikhoe–Kwadi)
Lugha za Kikhoe-Kwadi ni kundi la lugha kadhaa zinazotumika au zilizowahi kutumika Kusini mwa Afrika na ambazo zamani zilizojumlishwa pamoja na nyingine kama lugha za Khoisan.
Lugha hizo zinaweza kuhusiana na Kisandawe cha Tanzania ya Kati.
Marejeo
hariri- Güldemann, Tom; Elderkin, Edward D. (2010). "On External Genealogical Relationships of the Khoe Family". Katika Brenzinger, Matthias; König, Christa (whr.). Khoisan Languages and Linguistics: the Riezlern Symposium 2003 (PDF). Quellen zur Khoisan-Forschung. Juz. la 17. Köln: Rüdiger Köppe. ISBN 978-3-89645-864-3. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2021-04-13.
- Güldemann, Tom; Fehn, Anne-Maria (2014). "A Kwadi perspective on Khoe verb-juncture constructions". Institut für Asien- und Afrikawissenschaften. Humboldt-Universität zu Berlin. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-13.
- Güldemann, Tom (2014). "Person-gender-number marking from Proto-Khoe-Kwadi to its descendents: a rejoinder with particular reference to language contact". Institut für Asien- und Afrikawissenschaften. Humboldt-Universität zu Berlin. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-04-13.
Marejeo mengine
hariri- Baucom, Kenneth L. (1974). "Proto-Central-Khoisan". Katika Voeltz, Erhard Friedrich Karl (mhr.). Proceedings of the 3rd annual conference on African linguistics, 7-8 April 1972. Bloomington: Research Institute for Inner Asian Studies, Indiana University. ku. 3–37. ISBN 0877501815.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Lugha za Kikhoe-Kwadi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |