Kisandawe
Kisandawe ni lugha inayozungumzwa na Wasandawe wanaoishi katika Mkoa wa Dodoma, nchini Tanzania, na ambao idadi yao ni kama 60,000. Ilifikiriwa kuwa mojawapo kati ya lugha za Khoisan, lakini kwa sasa inahesabika lugha ya pekee ingawa inaweza kuhusiana na lugha za Kikhoe–Kwadi za Kusini mwa Afrika.
Marejeo
hariri- Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:
- Dempwolff, Otto. 1916. Die Sandawe: linguistisches und ethnographisches Material aus Deutsch-Ostafrika. (Abhandlungen der hamburgischen Kolonial-Instituts, Bd 34. Reihe B: Völkerkunde, Kulturgeschichte und Sprachen, Bd 19.) Hamburg: Friederichsen, De Gruyter & Co. Kurasa v, 180.
- Eaton, Helen. 2002. The grammar of focus in Sandawe. PhD thesis. University of Reading (UK). Kurasa 318.
- Elderkin, Edward D[erek]. 1989. The significance and origin of the use of pitch in Sandawe. DPhil thesis. Department of Language and Linguistic Science, University of York (UK). Kurasa ix, 323.
- Kagaya, Ryohei. 1993. A classified vocabulary of the Sandawe language. (Asian and African lexicon series, vol 26.) Tokyo: Institute for the Study of Languages and Cultures of Asia and Africa (ILCAA), Tokyo University of Foreign Studies. Kurasa x, 2, 144.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kisandawe kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kisandawe
- lugha ya Kisandawe katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/sad
- http://www.african.gu.se/tanzania/weblinks.html Ilihifadhiwa 4 Oktoba 2006 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kisandawe kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |