Luigi Pirandello
Luigi Pirandello (28 Juni 1867 – 10 Desemba 1936) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Italia. Alijihusisha hasa na tamthiliya na nadharia yake. Mwaka wa 1934 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Luigi Pirandello kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |