Luvua

mto katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo

Luvua ni mto wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Gari likivushwa katika Mto Luvua

Chanzo chake ni Ziwa Mweru mpakani mwa Kongo na Zambia. Mdomo uko katika mto Lualaba ambao ni tawimto wa Kongo.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Luvua kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.