Magharibi mwa Norwei

Magharibi mwa Norwei (Kinorwei: Vestlandet, Vest-Norge, Vest-Noreg) ni kanda iliyopo katika pwani ya bahari ya Atlantiki huko mjini kusini mwa nchi ya Norwei. Kanda ina-jumlisha baadhi ya majimbo kama vile Rogaland, Hordaland, Sogn og Fjordane, na Møre og Romsdal na kanda ina wakazi wapatao milioni 1.3. Mji mkubwa kabisa katika kanda hii ni Bergen, wa pili kwa ukubwa ni Stavanger. Agder, Vest-Telemark, Hallingdal, Valdres na sehemu za kaskazini mwa Gudbrandsdal zilikuwa katika jimbo hili wakati wa kupanga Magharibi mwa Norwei.[1][2]

Kolagi inayojumlisha miji ya magharibi ambayo ni: Stavanger ·Bergen ·Ålesund ·Selje ·Briksdalsbreen ·Kvitsøy · ·Steinsdalsfossen ·Folgefonna ·Ørsta ·Aurland

Kanda hii ina miji ipatayo 22. Imewekewa ukubwa kulingana na idadi ya wakazi:

Wilaya

hariri
 
Moja ya sehemu za kanda hii.

Hizi ni wilaya ambazo zimegawiwa kulingana na mfumo wa utawala wa sasa. Umepangwa kutoka Kaskazini kwenda Kusini.

Majimbo

hariri
Ngao Jimbo Makao makuu Mji mkubwa Idadi ya wakazi (2010) Eneo (km²) Msongamano Meya Chama Gavana Muundo wa lugha
  Hordaland Bergen Bergen 596,700 15,440 31,13 Torill Selsvold Nyborg Christian Democratic Party Lars Sponheim Nynorsk
  Rogaland Stavanger Stavanger 569,200 9,377 46,07 Tom Tvedt Norwegian Labour Party Harald Thune Bokmål
  Møre og Romsdal Molde Ålesund 300,200 15,121 16,71 Olav Bratland Conservative Party of Norway Ottar Befring Nynorsk
  Sogn og Fjordane Leikanger Førde 123,300 18,622 5,77 Nils R. Sandal Centre Party Oddvar Flæte Nynorsk
Jumla 1,589,300 58,560 km² 21,73/km²

Marejeo

hariri
  1. Vestlandet (Store norske leksikon)
  2. Helle, Knut (2006). Vestlandets historie. Bergen, Norway: Vigmostad & Bjørke. ISBN 978-82-419-0400-4.

Viungo vya Nje

hariri


  Makala hii kuhusu maeneo ya Norwei bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Magharibi mwa Norwei kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.