Rekodi kuu za umma
Hapa panaonyeshwa kumbukumbu zote za Wikipedia kwa pamoja. Unaweza kuona baadhi yao tu kwa kuchagua aina fulani ya kumbukumbu, jina la mtumiaji fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo), au jina la ukurasa fulani (zingatia herufi kubwa na ndogo).
- 13:12, 5 Septemba 2024 Furedwa majadiliano michango created page Benki ya Maendeleo Afrika (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB)''' Ni Benki iliyoanzishwa kwa azma ya kutumia rasilimali za Bara la Afrika kuwaongoza nchi zote za Afrika kupata uhuru na kufanikisha maendeleo ya bara kwa umoja == Historia == Khartoum, Sudan, Septemba 1964, Kundi la wanaume wa Kiafrika linakutana kupitisha makubaliano ya kimataifa ya kuanzisha Benki ya Maendeleo ya Afrika. Wanawakilisha serikali ishirini na tano za bara la Afrika. Wote wana...')
- 12:36, 5 Septemba 2024 Furedwa majadiliano michango created page Mradi wa kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira Arusha (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, imewekeza katika kuboresha huduma ya majisafi na usafi wa mazingira katika Jiji la Arusha ili kuondoa kero ya upungufu wa majisafi na uondoaji majitaka katika Jiji la Arusha na baadhi ya maeneo ya Wilaya ya Arumeru ili kuendana na kasi ya ukuaji wa Jiji la Arusha.<ref>{https://www.auwsa.go.tz/news/pic-yaridhishwa-na-uboreshaji-wa-huduma-ya-maji-jijini-arusha}</ref>. Utekelezaji wa mradi huo we...')
- 18:20, 8 Julai 2024 Furedwa majadiliano michango created page Mtumiaji:Furedwa (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Karibu, Jina langu halisi ni Fred Lyimo. Humu najulikana kama Furedwa. Mimi ni Mchumi kwa taaluma, naamini katika kupanga malengo na kupambana kuyatimiza. Ninafurahia mazingira, napenda miti, kwa haiba Furedwa ni mkimya, anapenda kuandika na kusoma. Naamini kila siku mpya ni fursa ya kujifunza. Naamini mafaniko yanahitaji bidii, nidhamu na kazi halali.') Tags: Hariri ya simu Hariri ya wavuti ya rununu
- 12:07, 4 Julai 2024 Furedwa majadiliano michango created page Mrisho Mashaka Gambo (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Short description|Tanzanian politician}} {{Infobox officeholder | name = Mrisho Mashaka Gambo | image = | alt = | caption = | office = Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini | term_start = 2020 | term_end = 2025 | appointer = Chama Cha Mapinduzi | predecessor = [https://sw.wikipedia.org/wiki/Godbless_Jonathan_Lema Godbless Jonathan Lema] |...')
- 10:48, 1 Julai 2024 Furedwa majadiliano michango created page Jacqueline mkindi (Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Jacqueline Mkindi''' alizaliwa mwezi Januari mwaka 1977<ref>[http://Africa4Africa%20Women%20Conference https://africa4africawomen.org/the-horticultural-and-agribusiness-exploits-of-jacqueline-mkindi/]</ref> ==Marejeo==')
- 10:14, 1 Julai 2024 Akaunti ya mtumiaji Furedwa majadiliano michango ilianzishwa na mashine