Furedwa
Imejiunga 1 Julai 2024
Latest comment: miezi 5 iliyopita by Furedwa in topic Jacqueline Mkindi
Basi makala mstari mmoja? Hakuna jamii wala maelezo ya ziada. Ni nani huyu? Naomba muweke taarifa za ziada Muddyb Mwanaharakati Longa 12:58, 1 Julai 2024 (UTC)
- Naandika sasahivi, utapata makala iliyokamilika zaidi. Pole sana! Furedwa (majadiliano) 11:18, 4 Julai 2024 (UTC)
- Hongera. Ila sasa kuna mistari imekaa kishabiki au kipromosheni. Unaweza kuboresha zaidi? Pengine iwe na usanifu wa Kiwikipedia.--Muddyb Mwanaharakati Longa 13:32, 4 Julai 2024 (UTC)
- Dah! Hizo ni sifa alizonazo, una pendekezo lolote la kitu unachotaka niandike kuhusu yeye? tafadhali nishirikishe. Furedwa (majadiliano) 13:36, 4 Julai 2024 (UTC)
- Unaweza kuandika sifa zake. Lakini isiwe katika mtindo wa kishabiki. Pia, ili sifa usemazo anazo ziwe halali kwa Wikipedia, ni bora uweke marejeleo. Aidha gazeti au wavuti mtandaoni. Muddyb Mwanaharakati Longa 09:34, 5 Julai 2024 (UTC)
- Tazama tena. Nimeiboresha katika viwango vya Wikipedia. Pia, kuna vingine vinahitajika. Umesifia mpaka basi. Hebu nenda ukaweke viungo vya kusapoti sifa zako. Muddyb Mwanaharakati Longa 10:29, 5 Julai 2024 (UTC)
- Tayari mkuu. Furedwa (majadiliano) 13:29, 8 Julai 2024 (UTC)