Wilaya ya Arumeru
wilaya ya Tanzania
Wilaya ya Arumeru ilikuwa moja ya wilaya za Mkoa wa Arusha. Katika sensa ya mwaka 2002, idadi ya wakazi wa Wilaya ya Arumeru ilihesabiwa kuwa 516,814 [1].
Tangu mwaka 2007 wilaya imegawiwa kuwa chini ya halmashauri za wilaya ya Arusha Vijijini na wilaya ya Meru.
Marejeo
haririKata za Wilaya ya Arumeru - Tanzania | ||
---|---|---|
Akheri | Bangata | Bwawani | Ilkiding'a | Kikatiti | Kikwe | Kimnyaki | King'ori | Kiranyi | Kisongo | Leguruki | Maji ya Chai | Makiba | Maroroni | Mateves | Mbuguni | Mlangarini | Moivo | Moshono | Murieti | Musa | Mwandeti | Nduruma | Ngarenanyuki | Nkoanrua | Nkoaranga | Nkoarisambu | Oldonyosambu | Oljoro | Olkokola | Oltroto | Oltrumet | Poli | Singisi | Sokoni II | Songoro | Usa River |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Arusha bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Wilaya ya Arumeru kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |