Mpwa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Mpwa''' ni jina ambalo mwanamume anamuita mtoto wa dada yake. Upande wa pili, mpwa anamuita mwanamume huyo "mjomba". Ukilinganisha na...' |
No edit summary |
||
Mstari 1:
'''Mpwa''' ni [[jina]] ambalo [[mwanamume]] anamuita [[mtoto]] (wa kiume au [[Mwanamke|wa kike]]) wa [[dada]] yake.
Upande wa pili, mpwa anamuita mwanamume huyo "[[mjomba]]".
Mstari 5:
Ukilinganisha na [[lugha]] za [[Ulaya]], zile [[Lugha za Kibantu|za Kibantu]] zinazingatia zaidi [[umri]] na hasa [[jinsia]] za [[wazazi]] na [[ndugu]] zao. Hivyo, kwa [[Kiingereza]] "nephew" linaweza kumaanisha "mpwa" lakini pia "mtoto" (ikiwa anayesema ni wa jinsia ileile ya mzazi).
[[Wajibu]] na [[haki]] kati ya mpwa na mjomba wake vinategemea [[utamaduni]] wa mahali. Katika baadhi ya [[Kabila|makabila]], kama yale yanayotia maanani [[ukoo]] wa [[mama]] kuliko ule wa baba, mjomba ni muhimu kuliko baba mzazi.
{{mbegu-utamaduni}}
[[Jamii:Familia]]
|