Wahutu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Wahutu''' ni kabila kubwa la watu wanaoishi katika eneo la Maziwa makubwa ya Afrika, hasa Rwanda na Burundi, lakini pia Jamhuri ya Kide...'
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Wahutu''' ni [[kabila]] kubwa la [[watu]] wanaoishiambao wanaishi katika eneo la [[Maziwa makubwa ya Afrika]], hasa [[Rwanda]] na [[Burundi]], lakini pia [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Tanzania]], hasa baada ya [[vita vya wenyewe kwa wenyewe]]. Jumla yao ni zaidi ya [[milioni]] 11.5.
 
[[Lugha]] yao ni kati ya [[lugha za Kibantu]] na imegawanyika katika [[lahaja]] [[mbili]], [[Kinyarwanda]] na [[Kirundi]].