Ruvu (Pangani) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{maana nyingine|Ruvu (pwani)}} '''Mto Ruvu''' (pia: '''Luffu''' au '''Jipe Ruvu''') ni jina la mojawapo kati ya matawimto muhimu zaidi ya mto...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:09, 27 Agosti 2017

Mto Ruvu (pia: Luffu au Jipe Ruvu) ni jina la mojawapo kati ya matawimto muhimu zaidi ya mto Pangani[1] kaskazini mashariki mwa Tanzania.

Mto Ruvu unaanza kama Mto Lumi kwenye Kilimanjaro, unapitia ziwa Jipe na kuishia lambo la Nyumba ya Mungu.

Tanbihi