Nyumba ya Mungu

Nyumba ya Mungu ni bwawa linalozalisha umeme ambalo lipo katika wilaya ya Mwanga, mkoa wa Kilimanjaro.

Picha la bwawa kutoka angani.

Nyumba ya Mungu ipo kwenye bonde la mto Pangani; maji yake yanatoka katika Kikuletwa na Ruvu. Lambo llitengenezwa kwa ajili ya kilimo cha umwagiliaji, kuzalisha umeme na viwanda vya samaki vilivyo kuwa karibu na pale.

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Kilimanjaro bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Nyumba ya Mungu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.


Isipokuwa usitaje majina ya viongozi waliopo sasa maana wanabadilika haraka mno.