Dar es Salaam : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 35:
 
Bandari pamoja na [[ujenzi]] wa [[reli ya kati]] kwenda [[Kigoma]] tangu mwaka [[1904]] viliimarisha nafasi ya mji ulioendelea kama mji mkuu baada ya [[Tanzania bara]] ya leo kuwa [[eneo lindwa]] la [[Tanganyika]] chini ya [[Uingereza]].
[[Picha:Dar Askari.jpg|thumbnail|[[Sanamu ya askariAskari]] mjini Dar es Salaam]]
 
== Wakazi na uchumi ==
Mstari 44:
[[Bandari]] ya Dar es Salaam katika [[bahari ya Hindi]], ndio bandari kubwa nchini Tanzania inayojihusisha na [[usafirishaji]] na [[uingizaji]] wa [[bidhaa]] mbalimbali za [[kilimo]], [[ufugaji]], [[ujenzi]], [[gari|magari]], [[dawa|madawa]], n.k.
 
Kiutawala, Dar es Salaam imegawanywa katika [[wilayamanisipaa]] za [[Temeke]], [[Ilala]], [[Kinondoni]], [[Kigamboni]] na [[Ubungo]].
 
==Wakazi na uchumi==
Dare es salaamSalaam ni mji unaosemekana kuwa mkubwa kuliko yote kwa sababu ya maendeleo mbalimbali ya viwanda;uwepo wa bahari;uwepo wa sehemu mbalimbali za kihistoriankihistoria.k.
 
==Huduma za Jiji==