Lilian Nabora : Tofauti kati ya masahihisho

Mratibu mkuu wa kampuni ya FASDO
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ' ‘’’Lilian Nabora’’’ ni Mmoja wa Wanaharakati wanawake wenye ushawishi Tanzania. ==Wasifu== Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya Te...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:54, 8 Septemba 2018

‘’’Lilian Nabora’’’ ni Mmoja wa Wanaharakati wanawake wenye ushawishi Tanzania.

Wasifu

Lilian Nabora alizaliwa katika wilaya ya Temeke Jijini Dar es Salaam. Ni mmoja wa wafanyakazi katika ubalozi wa Botiswana huko Brussels, akifanya kazai kwa muda wa ziada kama Msambazaji wa vifaa vya Ofisi . Lilian ni mmiliki, na mpiga picha wa Kampuni ya Creative Media, pia ni msanii wa grafiti. Lilian anaishi nchini Uberigiji

Harakati

Mnamo mwaka 2008, Lilian aliamua kurudi sehemu sehemu alikozaliwa na kuhamasisha kundi la watu 20 kwa malengo ya kuelimisha na kusaidia vijana na watoto kutokana na umasikini na ugonjwa wa UKIMWI. Mnano mwaka 2009 alifanikiwa kusajili taasisi ya Faru Arts and Sports Development Organization (FASDO).

Marejeo

[1]. The business was registered in 2002 October [2].

Kigezo:Mbegu-Msanii-Afrika

  1. http://www.fasdo.org/member/lilian-nabora April 2018
  2. https://www.youtube.com/watch?v=OO5aK1OYp5s April 2018