Tofauti kati ya marekesbisho "Wikipedia:Makala kwa ufutaji"

==[[Hofu ya Jumapili]]==
hakuna maelezo ya lemma mle, hakuna vyanzo kuonyesha habari ni kweli, na Kiswahili chake kibaya. Ifutwe. '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 20:52, 13 Septemba 2018 (UTC)
Hofu ya Jumapili (Sunday Scaries) ni jambo lililo na umaarufu. Mengi yameandikwa kuhusu hisia hii katika wavuti kama [https://www.forbes.com/sites/karineldor/2018/08/05/sunday-scaries-got-you-down-the-founder-of-sunday-forever-wants-to-help/#5853649b6180 Forbes], [https://www.nbcnews.com/better/health/sunday-scaries-are-real-why-ncna783186 NBC news], [https://www.thisisinsider.com/are-the-sunday-scaries-real-how-to-get-over-them-2017-11 thisisinsider], [https://www.businessinsider.com/how-to-prevent-the-sunday-blues-and-feel-refreshed-before-the-workweek-2018-2?IR=T businessinsider] na [https://www.thriveglobal.com/stories/33309-say-goodbye-to-sunday-scaries Thrive Global] yote ambayo ni majalada yenye umaarufu '''[[Mtumiaji:Hreflafa|Hreflafa]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Hreflafa|majadiliano]])''' 11:13, 14 Septemba 2018 (UTC)
199

edits