Umoja wa Kimataifa wa Astronomia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Marekebisho machache
No edit summary
Mstari 5:
Shabaha ya umoja ni kuendeleza na kuhifadhi elimu ya astronomia. Wanachama ni wataalamu waliosoma sayansi hii na kufanya kazi ya uchunguzi na kufundisha katika vyuo vikuu au taasisi za astronomia. mwaka 2008 idadi ilikuwa wanachama 9623 katika nchi 86.
 
Umoja wa kimataifaKimataifa wa astronomiaAstronomia unashirikiana na vikundi na shirika za wanaastronomia ridhaa zinazounganisha wapenzi wa astronomia wasiofanya kazi katika fani hii lakini kuangalia nyota kama ridhaa.
 
IAU ina wajibu wa kutawala mfumo wa kutoa majina ya magimba yanayoendelea kutambuliwa katika anga laya ulimwengu pamoja na majina ya milima au kasoko yao.
 
== Viungo vya Nje ==
Mstari 16:
[[Category:Astronomia]]
[[Category:Mashirika ya kimataifa]]
{{wikinyota}}