Tofauti kati ya marekesbisho "Ugonjwa wa Parkinson"

123 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
Tengua pitio 1052567 lililoandikwa na Ndesanjo (Majadiliano)
(Tengua pitio 1052567 lililoandikwa na Ndesanjo (Majadiliano))
Tag: Undo
'''Ugonjwa wa Parkinson''' (kwa [[Kiingereza]]: [http://Parkinson's%20disease diseaseParkinson's_disease]) ni [[ugonjwa]] wa [[ubongo]] ambapo mtu hukosa [[homoni]] ya [[dopamini]]. Hili hufanyika baada ya [[seli]] zinazotengeneza dopamini kuharibika.
 
[[Dalili]] ya ugonjwa huu ni kutetemeka kwa [[mikono]] (hand tremors), pamoja na shida ya kutembea. Huenda pia [[mtu]] akawa na shida za kufikiria. Wagonjwa wa Parkinson huwa na [[huzuni]], [[utovu wa usingizi]] pamoja na [[wasiwasi]] mwingi.
Madawa kama levodopa na sinemet husaidia katika kudhibiti mtetemeko, ukosefu wa usingizi, wasiwasi pamoja na dalili nyinginezo za ugonjwa huu.
 
Kumekuwa pia na uvumbuzi kuwa [[cannabidiol]] au mafuta[https://greenthevoteok.com/cbd-oil/ yacbd CDoil] yaweza kusaidia katika kudhibiti dalili hizi. Hata hivyo, huwa si matibabu kamili kwani yabidi uwe ukizitumia kila wakati.
 
Suala kuhusu matumizi ya [[marijuana]] au [[bangi]] iliyotolewa THC (kiungo kinachomfanya mtu alewe anapovuta bangi) yamekuwa yakijadiliwa ikisemekana kwamba [https://marijuana101.org/hemp-oil/best-cbd-oil-for-pain-and-anxiety/ cbd oil] husaidia katika kudhibiti kiwango cha dopamini mwilini.
 
== Vifaa maalumu vya wagonjwa wa Parkinson ==
Kwa sababu ya kutetemeka, pamoja na shida ya kutembea, wagonjwa wa Parkinson huwa na vifaa maalumu ambavyo wanatumia kuwawezesha kumudu [[maisha]]. Kwa mfano, kuna vijiko vinavyowasaidia kula [[chakula]] hata kama wanatetemeka kwa mikono. Vijiko hivi huenda vikawa na [[uzito]] mwingi kuliko vijiko vya kawaida au viwe na [[teknolojia]] ya hali ya juu hivi kwamba vinaweza kujua upande ulioko [[mdomo]] na kwa hivyo kudhibiti mtetemeko wa mgonjwa hadi atakapokielekeza chakula kwa mdomo ([http://hosiped.com/parkinsons-spoon/ smart parkinson spoon]). Kuna vikombe pia za kusaidia mgonjwa aweze kunywa [[kinywaji]] bila ya kumwagika. Vikombe hivi huundwa kwa muundo utakaoweza kumudu mtetemeko wa mgonjwa wa Parkinson.
 
Vifaa vingine ni vijiti vya kumsaidia mgonjwa aweze kutembea bila kuanguka kwa kujishikilia kwa ile walker<ref>[http://www.parkinson.org/Living-with-Parkinsons/Managing-Parkinsons/Activities-of-Daily-Living/Mobility walkers]</ref>.
199

edits