Unajimu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 34:
Tangu zamani watu walitazama nyota zilizoonekana pamoja kama [[kundinyota]] kama nukta angani na kuwaza kuwa na mistari kati yake, hivyo kuona picha ya watu, wanyama au miungu. Ni hasa kundinyota [[kumi na mbili|12]] za aina hii zilizorudia kila mwaka kukaa juu kwenye [[anga]] wakati wa mwezi fulani. Makundinyota hayo yalichukuliwa kama "watawala" wa kipindi ambako zilionekana juu angani wakati wa usiku na kwa pamoja zinafanya "[[zodiaki]]" yaani ufuatano wa kundinyota zilizoaminiwa kuwa muhimu.
 
Unajimu unafundisha ya kwamba kila kundinyota kuwa na tabia fulani na mtu mtu aliyezaliwa "chini" ya nyota hizi anapokea tabia za pekee kulingana na ''nyota zake''. Hayo makundinyota ya zodiaki yaliunganishwa na athari iliyoaminiwa kutokea kwa [[sayari]] ambazo zilipewa pia tabia zake.<ref>[https://ngololo.wordpress.com/2015/02/05/ijue-nyota-yako-na-tabia-zako-hapa/ Ijue nyota yako na tabia zako hapa], mfano wa tovuti ya mnajimu, iliangaliwa Januari 2019</ref> Hayo yote ni mfumo usioeleweka kirahisi na kuwa msingi wa horoskopi.
 
Hadi leo chini ya vichwa kama "Nyota zinasema" [[magazeti]] mengi huchapisha namna za [[utabiri]] wa kila [[wiki]] kwa watu kufuatana na [[tarehe]] zao za kuzaliwa.