Divock Origi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|304x304px|Origi akiwa Liverpool. '''Divock Okoth Origi''' (alizaliwa 18 Aprili 1995) ni mchezaji wa [...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Divock Origi (25273591916).jpg|thumb|304x304px|Origi akiwa Liverpool.]]
'''Divock Okoth Origi''' (alizaliwa [[18 Aprili]] [[1995]]) ni [[mchezaji]] wa [[soka]] wa [[Ubelgiji]] ambaye anacheza kama [[mshambuliaji]] wa [[klabu]] ya [[Liverpool FC]] na [[timu ya taifa]] ya Ubelgiji.

Origi ni mchezaji wa Ubelgiji mwenye [[asili]] ya [[Kenya , yeye]]: ni [[mtoto]] wa mchezaji wa [[zamani]] wa kitaifa wa Kenya [[Mike Origi]].
 
Origi alianza kazi yake ya kucheza mpira wa miguu katika [[akademia]] ya vijana wa [[Genk]] ambako alitumia miaka tisa na baadae kusaini [[Lille]] [[2010]], akiwa na umri wa miaka 19 alikataa maombi ya kusaini [[mkataba]] na [[Manchester United F.C.|Manchester United]] juu ya sababu zisizojulikana.
 
Mnamo tarehe [[29 Julai]] [[2014]], klabu ya Liverpool ilisaini [[mkataba]] wa miaka mitano kwa wa [[£]] [[milioni]] 10. Mkataba wake utaisha mwishoni mwa msimu wa 2019-20.
 
 
{{mbegu-cheza-mpira}}