DStv : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'thumb|Dstv '''DStv''' ('''Digital Satellite Television''') ni kampuni ya kutangaza huduma za satelaiti inayomilikiwa na Multi...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:57, 12 Mei 2019

DStv (Digital Satellite Television) ni kampuni ya kutangaza huduma za satelaiti inayomilikiwa na MultiChoice. Huduma hiyo ilizinduliwa mwaka 1995 na hutoa huduma nyingi kwa wanachama wao, ambao kwa sasa ni idadi ya karibu milioni 11.9. Wengi wa wanachama ni Afrika Kusini, Nigeria, Kenya, Ghana, Angola, Zimbabwe, Zambia, Uganda, Mauritius, Msumbiji, Tanzania, Lesotho, Ethiopia, Jamhuri ya Kongo, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Gabon, Swaziland na Botswana ambayo pia inahudumiwa na kampuni hiyo.

Dstv