Wikipedia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Tags: Mobile edit Mobile web edit
No edit summary
Mstari 14:
Mwaka [[2003]] kamusi elezo hii ilianzishwa katika lugha ya [[Kiswahili]].
 
Wikipedia imeshachukua nafasi za kamusi elezo mashuhuri kama [[Encyclopedia Britannica]] Britannica zilizotazamiwazilizotazamwa kuwa mkusanyikomkusanyo wa [[elimu]] ya [[Dunia]] kabla ya kutokea kwa [[intaneti]]. Kwa lugha za Kiafrika kama Kiswahili ni mara ya kwanza ya kwamba jaribio la kukusanya elimu za fani mbalimbali limeanzishwa.
 
Hadi mwaka 2018 wachangiaji wa wikipediaWikipedia walishirikiana kuunda zaidi ya makala milioni 47<ref>[meta:List_of_Wikipedias List of Wikipedias by article count, users, file count and depth], iliangaliwa tar. 27-11-2018</ref> kwa lugha 300.

Wikipedia kubwa zenye makala zaidi ya milioni mbili zilikuwa kwenye Novemba 2018: [[Wikipedia ya Kiingereza]] (makala 5,758,502), ya Kicebuano (makala 5,379,917), [[Wikipedia ya Kiswidi|ya Kiswidi]] (makala 3,764,225), [[Wikipedia ya Kijerumani|ya Kijerumani]] (2,243,097) na [[Wikipedia ya Kifaransa|ya Kifaransa]] (makala 2,060,362). Kwa jumla kulikuwa na wikipediaWikipedia zenye zaidi ya makala milioni moja kwa lugha 15.
 
==Taasisi ya Wikimedia Foundation==
Line 24 ⟶ 26:
Katika nchi mbalimbali kuna shirika za kitaifa zinazojumuisha wanawikipedia ama kwa umbo la taasisi au kwa umbo la makundi ya watumiaji (Wikimedia User Groups).
 
Nchini [[Tanzania]] kuna [[kundi]] la [[meta:Wikimedia Community User Group Tanzania| Wikimedia Community User Group Tanzania]]. Kundi la [[meta:Jenga Wikipedia ya Kiswahili|Jenga Wikipedia ya Kiswahili]] ni jumuiya ya wachangiaji kutoka nchi mbalimbali wanaoangalia maendeleo ya Wikipedia ya Kiswahili.
 
== Tazama pia ==