Davido : Tofauti kati ya masahihisho

Muuimbaji kutoka nchini Nigeria
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Infobox Musical artist|thumb|Jina la kuzaliwa=David Adedeji Adeleke|Img=Gentleman-Video-Shoot-January-2014-BellaNaija-027-402x600.jpg|Amezaliwa=Novemba 21...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:21, 18 Agosti 2019


David Adedeji Adeleke (Kuzaliwa Novemba 21, 1992) anajulikana sana kwa jina la Davido, ni mwanamuziki wa Nigeria,mwandishi wa nyimbo na pia ni mtayarishaji. Alizaliwa Atlanta na kulelewa Lagos. Davido alianza muziki akiwa kama mmoja wa waimbaji katika kikundi cha muziki kijulikanacho kama KB International. Alisomea usimamizi wa biashara katika chuo kikuu cha Oakwood. Davido alianza kupata umaarufu pale alipoachia nyimbo yake ijulikanayo kama Dami Duro ambayo ilikua ni nyimbo ya pili kutoka kwenye albamu yake kutoka katika studio yake ya kwanza iliyoitwa Omo Baba Olowo mnamo mwaka 2012. Albamu hiyo ilikuwa na nyimbo sita alizozipa majina "Back When", "Ekuro", "Overseas", "All of You", "Gbon Gbon", na "Feel Alright".

Davido

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa David Adedeji Adeleke
Amezaliwa Novemba 21, 1992
Miaka ya kazi 2010-sasa
Tovuti iamdavido.com


Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Davido kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.