Barakoa ya kinga : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Created by translating the page "Schutzmaske"
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:14, 28 Februari 2020

Barakoa za kinga hutumiwa kulinda uso au sehemu zake ( macho, pua, nk) na viungo vya kupumua dhidi ya athira ya hatari.

Kuna aina mbalimali za barakoa zinazovaliwa kwa shughuli mbalimbali

  • barakoa za kitiba, zinazovaliwa na matabibu wakati wa upasuaji
  • barakoa za kinga dhidi ya maambukizi, zinazovaliwa na watu wakihudumia wagonjwa au wakihofia maabukizi wakati wa mlipuko wa ugonjwa
  • barakoa za kazi zinazovaliwa na mfundi wakati wa kufanya kazi zinazosababisha moshi au vumbi nyingi, kama vile kufuma, kusaga ubao, kufagia
  • barakoa za oksijeni (kwa wagonjwa au kwa walinzi moto)
  • barakoa za gesi, zenye filta zinazokinga dhidi ya gesi sumu kwa matumizi ya kijeshi au huduma za ukoaji katika mazingira ya hatari

Barakoa za aina hii zinaweza kulinda moja kwa moja dhidi ya maumizi kutokana na kupigwa kwa vipande vidogo vinavyorushwa hewani, au gesi au mvuke hatari, au vumbi, au harufu mbaya.

Viungo vya nje